Advertisements

Tuesday, June 4, 2013

MAPOKEZI YA MWILI WA MSANII MANGWEA WENGINE WAKILIA...KIBAKA KAZINI

Watu wakilia katika mapokezi ya mwili wa Ngwea
Mrisho Mpoto naye alikuwapo
Huyu naye alibambwa uwanjani hapo akidaiwa kutaka kumkwapulia msanii TID katika pilika pilika za mapokezi ya mwili wa msanii Albert Mangwea.

No comments: