Advertisements

Tuesday, June 4, 2013

RAIS WA ZANZIBAR AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE NCHINI CHINA

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kumpokea hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kuwasili akitokea nchini China kwa Ziara ya Kiserikali.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akiangalia ngoma ya kibati iliokuwa ikichezw na wanakikundi wa Amani Mkoa waliofika Uwanja wa Ndege Kumpokea akitokea nchini China kwa Ziara ya kiserikali.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akizungumza na Waandishi wa Habari hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kuwasili akitokea nchini china kwa ziara ya Kiserikali. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

1 comment:

Anonymous said...

Haya tena masikini Raisi wetu yeye anapelekwa akatembelee marafiki zake wa kichina na kutembelea mabwawa ya Samaki. Wakati kikwete na timu yake anakata anga kutafuta midola na miradi endelevu ya kuimarisha Tanganyika. Mungu tusaidie Zanzibar.