ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 25, 2013

Mtoto wa mnadhimu wa kwanza wa JWTZ mbaroni kwa tuhuma za mauaji

Mama mmoja ajulilikanae kwa jina la Magreth simon Nkwera ambae ni mtoto wa kwanza wa mnadhimu mkuu wa kwanza wa JWTZ Brig Gen Simon Nkwera amekamatwa kwa Mganga wa kienyeji akijaribu kutekeleza jaribio la kuwauwa baadhi ya watoto wa mumewew na baadhi ya ndugu zake huko kibaha maili moja mkoani Pwani na hivi sasa yupo katika kituo cha polisi Maili moja akisubiri kupandishwa kizimbani.
Mtuhumiwa akiwa ndani ya chumba cha mganga na mganga wake aitwae Yahaya tayari kwa mauwaji
Mtuhumiwa huyo akiwa ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa
Mtuhumiwa akiwa anahojiwa na mzee wa ukoo wa shirima Afisa polisi jeshi daraja la Kwanza (woii mstaafu) Joseph Shirima mara baada ya kumkamata live kwa sangoma

3 comments:

Anonymous said...

Nchi yetu kuendelea itachukua muda sana. Unless Tanzanian government believes in witchcraft, there is no any legal ground, what so ever, to arrest, prosecute and successfully convict that woman for attempting murder. Kesi za namna hii huwa zinatupiliwa mbali mahakamani na waendesha mashtaka wanalijua hilo. Kwanini kupoteza kodi za wananchi kwa mambo yasoyothibitika kisheria? Sasa sijui hili nalo linahitaji misaada kutoka nje?

Anonymous said...

Yap thats very true you are right mdau

Anonymous said...

hakuna anayemkamata mchawi kaka yy hajihusushi na uchawi,so i just hope huyo mzee wa ukoo ni balaa na iweje hadi kamera zimfuate nyumbani kwa mganga.Kuna mashaka nahisi hao wanaomtuhumu wana bif nae la mda na pia nao wanajihusisha sana na ushirikina.Duuh sheria haina sababu ya kuingilia mambo hayo.Hizo nadhan ni bif za kiukoo na ukifuatilia sana sana utakuta kuna kitu wanagombania kama si ardhi basi mali