ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 20, 2013

Mwenyekiti wa Chadema na mbunge wa Arusha wajisalimisha polisi.


Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na mandeleo Mh. Freeman Mbowe na mbunge wa jimbo la Arusha Godbless Lema wamejisalimisha kwa jeshi la polisi huku wakiendelea kusisitiza kuwa ushahidi walio nao hawatauwasilisha kwa jeshi la polisi mpaka pale rais Jakaya Kikwete atakapounda tume huru ya majaji ya uchunguzi.

No comments: