ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 25, 2013

NATHAN NA JERRYANNE WALIVYO MEREMETA KWENYE HARUSI YAO


Picha juu na chini ni smile faces  Nathan Chiume na mke wake Jerryanne siku ya harusi yao iliyofanyika siku ya tarehe 21 uko Mt vernon, NY. 
Hapa Nathan akilishwa kipande cha cake na mke wake siku hiyo ya harusi
Nathan nae akimlisha mke wake kipande cha cake yote ni katika mambo ya malovidave. Ukijua kupokea jua na kutoa pia. Vijimambo timu inakutakia maisha yenye furaha na afya tele katika ndoa yako.
Kwa picha zaidi read more
Mambo ya kulishana hayo 
Nathan akiwa na smile mbele ya mama mwenye wake cheupe dawa.


Nathan akifungua muzic na mke wake ukumbini hapo
Kaka mkubwa wa Nathan 
Dada yake Nathan
Familia ya Chiume

3 comments:

Anonymous said...

Beautiful....Congrats Nathan

Anonymous said...

Hongera sana Nathan na Jerryanne. safi sana

Anonymous said...

A very Beautiful couple, may you be blessed brother na wifi yetu.