Washabiki wamponda Diamond kwa kuposti picha zake akiwa baharini akila bata na rafiki zake badala ya kuwa Airport kuupokea mwili wa Ngwair.
Soma baadhi za comments hapo chini
Ordinary Michael · Top Commenter · Manager at Self Employed (Business)
Huyo ni msenge! halafu hana akili,, nadhani nae anakribia kufa ndo maana,, anachanganyikiwa,, maana mtu akikaribia kufa lazima aache kituko,, kidogo pambafu zake na viela vyake vya upatu hivyo.
Ally Likwambi · VETA
Tatizo waandishi wetu uchwala badala ya kumnyoosha wao wanampamba mi naona waandishi wa habari ndio wapumbavu wa kwanza then huyo mshamba wao domoReply ·
· 44 minutes ago
Ally Wa Leo · University of Dodoma
kwani akija yeye ndo NGWEA atafufuka? Kula BATA hadi kuku waone wivu!
Albert Simon Lufungulo · Works at Government Employee
kumbe ngwea alikua anakuumiza kichwa? wenzio wapo kwenye maandalizi ya kumpokea mwili wa msanii mwenzao, wewe unauza sura! dah, hii kali
Pascal Gilla · Arusha, Tanzania
Kibinadamu hakufanya vizuri.Japo aonekane kusikitika kwa kifo cha mwanamuziki mwenzake.
Marie Jo Benda · Boniconsilii mabamba galz sec · 510 subscribers
kila mwanadamu pua yake inaangalia chini....sio poa.
1 comment:
hee!!, jamani haya mambo ya ajabu nimesoma coment za face book kisa cha Diamond hajaenda kumpokea mwanamuziki Ngwair. wengine wamediriki kumtukana Diamond matusi ya nguoni kabisa bila aibu. kwa maoni yangu katika jamii ya kistaarabu, nasema shame on you wote mlioropoka mitusi, hii tu inaonesha ni jinsi gani mnavyomchukia huyu Diamond, ni kweli kuna mwanamuziki amefariki lakini si kweli kwamba watu wote au wanamuziki wote walifika kuipokea maiti hapo uwanja wa ndege. pili katika kushiriki kuomboleza au kumwombea maiti kuna hatua mbali mbali zitafuata na watu watapata nafasi ya kushiriki kwa mfano, sala, mazishi nk. sasa mnamtukana hivyo Diamond iwapo kesho atashiriki kwenye sala na mazishi mtasema nini? acheni chuki zisizo na msingi jamani!!! hata nyinyi mnaolaani na kutukana hakuna hata mmmoja kati yenu alifika airport kupokea maiti basi tu shame on you!!
Post a Comment