Wednesday, June 5, 2013

NYUMBANI KWA MANGWAIR MOROGORO

Afande Sele The King akimfariji mama yake Albert Mangwea. Kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika hivi "Kama mwana wa mwenzio ni mwanao,basi hata mama yake Ngwea ni mama
yangu! Pole sana Bi mkubwa."
Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakiwa msibani hapo nyumbani kwao marehemu Mangwea Kihonda Morogoro
Baadhi ya watu msibani hapo wakijadiliana jambo
Huzuni kila mahali
Dully Sykes ametangulia huko kuhakikisha mambo yanaenda sawa
Wakina mama wakiwa na majonzi
Dah usiombe yakukute jamani this is so sad
Viti kwa ajili ya shughuli nzima ya msiba vikiwa tayari kwa kupangwa

No comments: