Wednesday, June 5, 2013

MWANADIASPORA DJ DENNIS SHENGENA WA MINNESOTA KULONGA NA VIJIMAMBO JUMATATU

Jumatatu June 10, 2013 Mwanadiaspora Dj Dennis Shengena atalonga na Vijimambo kuelezea maisha yake kwa ufupi, Je alishawahi kupiga muziki wa Club Tanzania? Hapa Marekani Je? ni nini kilimleta Marekani, Mabasi ya Shengena yanauhusiano gani na jina lake la ukoo? ni Dj gani wa Bongo enzi hizo aliyekua anamchengua, pamoja na mambo mengi USIKOSE.

No comments: