ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 10, 2013

PITA PITA YA VIJIMAMBO PANDE ZA JERSEY CITY KWENYE BABY SHOWER YA LILIAN NYANCHAMA MAKAYA

Lilian Nyanchari akitoa shukrani kwa ndugu na jamaa waliojitokeza kwenye Baby shower yake iliyofanyika huko Jersey City. Lilian ni Mchumba wa Hassan Jojo.
Lilian akiachia smile mbele ya ukodak wa vijimambo.
Hapa zawadi zilizoletwa na ndugu na jamaa zikifunguliawa na kukabidhiwa kwa Lilian 
Mc akiwa makini kuangalia zawadi wakati zikikabidhiwa kwa Lilian
Lilian akifurahia zawadi kwa kupiga makofi na huku akiachia smile, Kwa picha zaidi bofya read more
Picha ya Juu na chini ni Brenda mdogo wa Lilian akisoma majina ya watu walioleta zawadi ukumbini hapa na vitu walivyo vileta
Picha za juu na chini ni marafiki wa Hassan Jojo kutoka New York wakipata ukodak na Lilian kuonyesha upendo kwa rafiki yao ambae alishindwa kuhudhuria Baby shower ya mchumba wake kwa sababu ya kusafiri kwenda Tanzania kwenda kuuguza. Lakini marafiki walikuwepo ukumbuni hapo kuonyesha upendo kwa shemeji yao.

No comments: