
Inasikitisha kuona kwamba huyu mama Joyce Kiria anaingilia mambo ya kisheria na kutaka kupotosha jamii kwamba hajui mume wake yuko wapi pia nadhani analenga kuichochea jamii kwamba aliyetuhumiwa kutenda uhalifu akikamatwa familia yake iandamane, tendo ambalo pia ni kosa la jinai. Aidha anatakiwa kuheshimu haki za watoto na kuacha kuwatumia katika kinga ya kutetea watu wanaotenda uhalifu (Imetolewa na Advera Senso Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania)

Joyce Kiria akizungumza na waandishi wa habari Jana jijini Dar es salaam ambapo alidai hajui mume wake yuko wapi.
9 comments:
Hata mie ni lihisi tu anajua Mume wake aliko!!!! Ila alitaka kutuchanganya aakili kuwa ana onewa yeye kama mama na kama mwanamke! Halafu angekuwa huku kwa wajanja (USA) wangeshamnyang'anya hao watoto under a "child protective care law". Sasa atueleze mume wake yuko wapiii? na amefanya uhalifu gani maana hapo Police wamesema ni uhalifu!!! Majanga!!
tendo ambalo pia ni kosa la jinai. Tell us based on what law - clauses, articles etc. don't just tell us stories give, facts. So, people can't express their opinions no more??? Go Joyce, and more people should have been with you and we all should be inspired by your courageous acts. Shame on u tz.
Hakuna haki Tanzania, polisi wameachiwa tu wafanye watakavyo. Tanzania siyo police state kwa polisi kuwapiga na kuwabambikizia kesi wananchi wasio na makosa. Polisi ya Tanzania ipo pale kwa ajili ya kutetea maslahi ya CCM, serikali na mafisadi wake, jeshi la polisi halipo kwa ajili ya wananchi wa Tanzania! Hiyo kamata kamata imepangwa ili iumize upinzani hakuna jingine, Haiwezekani watuhumiwa wakawa wengi kwa kufanya kosa moja, kweli nia ya polisi ni kuwadhalilisha wananchi kwa itikadi ya kisiasa hakuna jingine. Tanzania imeandikwa na imesemwa sana kuhusu kukandamiza upinzani, kuua raia, na kufanya human trafficking lakini bado Kikwete na wenzake wameziba masikio wanaendelea kuua na kuumiza wananchi wasio na hatia. Kama watu hawapendezwi na yanayotokea lazima waandamane, kuwapiga wananchi kama anavyosema huyo waziri mkuu dhaifu ni kosa kubwa na kinyume na haki za binadamu. WANANCHI WANAONA WANAONEWA NDIYO MAANA WANAANDAMANA. Leo hii imekuwa bora hata wakati wa ukoloni, mbona wazazi na mababu zetu waliandamana wakati wa ukoloni hawakuuawa? Leo serikali inaona haitimizi wajibu wake inaogopa maandamano na kuua raia wasio na hatia. MLIOPO HUKO ANDAMANENI WAKATI WA ZIARA YA OBAMA ILI DUNIANI NZIMA IENDELEE KUFAHAMU KUWA BADO KUNA UVUNJAJI WA HAKI ZA BINADAMU
Go Joyce, go! Police force has lost public trust. They are suppose to serve and protect the public but they are no longer doing that, rather than protecting the few corrupt elites. Go baby go...
well, wewe mdau kwanza hujasoma hii habari katika magazeti ukaielewa hata kidogo, you said more people should be out there with her? LOL! Really? Do you know what her husband did first of all? Okay, go read daily news, mwananchi and uhuru they have put the entire story about her husband's case.
Wewe unayesema akasome daily news ,uhuru nadhani uwezo wako wa kufikiri unatoka makalioni(kama alivyawahi kusema masaburi meya wa da) hao watu wanatumiwa si wahalifu mpaka mahakama itavysbisha kuwa niwahalifu sawa WEWE BONGO LALA HAPO JUU?!,
Halafu nauliza hivi nani hasa aliyemteka Dr Ulimboka, nani hasa alimteka Kibanda?mmpaka leo hakuna aliyekamatwa TASK FORCE HAINA MAJIBU MPAKA LEO, halafu yule muhalifu muuwaji wa kiongozi wa chadema kule arumeru akatorokea mikononi mwa POLISI hajulikanialipo mpaka leo
(BONGO KIBOKO CHOCHOTE CHAWEZEKANA)
NAWAKILISHA WADAU
Believe me i have read all of them - It doesn't matter what her husband did, she still have the right to be informed, and that is what I am referring to - right to information. I urge you to read articles 9,19 &19 of the universal human rights ti understand http://www.ohchr.org/en/udhr/pages/introduction.aspx
We should be cognizant that what we see now being aired in the news are allegations.
Haya kamsaidieni sasa maana mnajua kuchongoa vinywa kama mlikuwepo na mnajua kinachoendelea. Na wewe bongo lala hapo juu unaye wataja Ulimboka na kujidai unaijua story mbona hujatuhadithia walio mteka ilikuwaje?? Unajua nyie waatu wengine mna ongea tu hata kufikiri hamuwezi kabisa na wala hata kutetea hoja hamuwezi. Haya nendeni mkaandamane naye baasi side by side au maneno tu yanawaponyoka???
Ndugu yangu hapo juu punguza JAZBA mchangiaji hajasema anajua ulimboka katekwa nani wala kibanda katekwa na nani yeye kauliza tu mbona jazba hivyo?! kulikoni? jibu hoja kuwa mkali ni dalili ya kuguswa pabaya,jeshi letu la polisi bado tunaimani nalo kuwa waliomtesa Ulimbomka na walio mtesa kibanda wataingia tu kwenye mkono wa sheria, kama mume wake huyo mama anaendamana hapo na watoto, kwani jamaa aliyemwagiwa tindikali ilikuwa miaka miwili iliyopita lakini hatimae wamepatikana, ingawa bado ni TUHUMA TU,vivyo hivyo watuhumiwa wa Ulimboka watapatikana tu kwani hata yeye ulimboma anawajua vizuri sana kwa majina na sura zao, watuhumiwa wa kibanda TUNAAMINI NA TUNAIMANI kuwa watapatikana kama Mh Nchimbi , Mzee Said Mwema alivyomuhidi Kibanda mwenyewe na watanzania kwa jumla au siyo jamani nchi yetu sote na waathirika ni wote ni watanzania tuache jazba na hasira
Asanteni Mdau toka Magomeni Mapipa
Post a Comment