Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na
Kiongozi wa Shirika la UNDP(UNDP Administrator) Bi. Helen Clark ikulu
jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Kiongozi wa
Shirika la UNDP(UNDP Administrator) Bi. Helen Clark ikulu jijini Dar es
Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Spika wa bunge la Oman Mhe. Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wajumbe waliofuatana na Spika wa Bunge la Oman ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Oman Mhe.Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Oman Mhe.Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali na ujumbe wake ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.kulia ni Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai.Picha na Freddy Maro

2 comments:
Ni ucheshi wa Raisi Kikwete ambao unawavutia viongozi mashuhuri kupenda kutembelea TZ. Tanzania bara inapaa kimaendelea kwa ukanda wa nchi za Afrika Mashariki.
Hawa waOmani wangelikwenda Zanzibar basi wangelitishana na kusema waarabu wanataka kurudi. Mapinduzi Daima. Time to change Zanzibar. Dunia inatucheka.
Wakati fulani ni vizuri kukaa kimya kama huna la kusema. Hao wageni na ucheshi wa Kikwete vinakusaidiaje wewe kimaisha @mdau wa kwanza hapo juu.
Post a Comment