ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 19, 2013

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI BAADA YA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UINGEREZA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini maelezo aliyokuwa akipewa na Waziri Mkuu Ndugu Mizengo Pinda mara tu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Uingereza. Rais Kikwete alirejea nchini jana tarehe 18.6.2013 usiku baada ya ziara ya kikazi nchini Uingereza. PICHA NA JOHN LUKUWI

No comments: