Wednesday, June 5, 2013

TASWIRA MBALIMBALI ZA HALI INAVYOENDELEA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS.

Jukwaa hili ndipo litakapowekwa jeneza la Mangwea
Mwili umeingia katika viwanja vya Leaders
Baadhi ya masuperstar wa bongo wakiwa tayari wamefika uwanjani hapo kwaajili ya shughuli za kuaga mwili wa marehemu Mangwea ambao baada ya shughuli hiyo leo utasafirishwa kuelekea Morogoro ambako ndo atapumzishwa kwenye nyumba yake ya miliele hapo kesho.
Gari liliobeba mwili wa marhemu Mangwea likiwa viwanja vya Leaders Club tayari kwa mwili kushushwa
Diamond Platnumz akiwa na dada yake Queen Darlin katika viwanja vya leaders club tayari kwa kumuaga mwenzao marehemu Mangwea

No comments: