ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 15, 2013

TID AAPA KUMTANDIKA OMMY DIMPOZ ...KOSA NI TUSI ALOMTUKANA NGWEA.....


Msanii T.I.D naye ameingilia kati tuhuma za Ommy Dimpoz kumtukana marehemu Albert “Ngwair” kwa kuahidi kumdunda popote atakapomuon....

Hiki ndicho alichosema msanii TID kwenye ukurasa wake ea facebook kuhusu hilo.

“Hawa watoto wadogo wanakuja na kandambili kuomba kuimba sasa hivi wanajifanya wao wanazo hela sana na kututusi sisi especially mkali wangu Albert wallahi mungu atamlaani………mshenzi mkubwa na nikikuona nakupiga.”

3 comments:

Anonymous said...

Haya wazichape hasira ziishe. Maana sasa sie tuseme nini jamani? Zipigwe halafu wataheshimiana. Na huyo Ommy Dimpozz amekuwa akizoza mbovu kwanini? sio tabia nzuri kumwongelea marehemu vibaya.

Anonymous said...

wabongo msiogope kuambiwa ukweli Ommy Dimpoz kasema ukweli kwani amedanganya nini hapo? kweli marehemu amekufa masikini msiba wake mpaka umechangwa ndio ameletwa kuzikwa sasa uongo uko wapi hapo sad but true

Anonymous said...

Heshima ni kitu cha bure. Inamaana Marehemu alikuwa anamuumiza sana roho.