Hii ni mojawapo ya gari azitembeleazo Wema Sepetu.
Wema Sepetu akiwa kwake
Huu ndio mpangilio wa nyumba yake, kiukweli uko poa.
Wema akiwa na Zamaradi kutoka Clouds TV
Hii ni Corridor......
Wema, Snura na Zamaradi.
Mpango mzima wa Music system & TV
Hapa ni baadhi ya meeneo ya ndani kwa Wema
6 comments:
jamani si tumeshaona hizi picha basi kila leo ndo tuone utafikiri ndo malikia wa bongo acheni hizo bwana mara sijui naye diamond anapicha mara sijui nani na nani kama wamepata mafanikio yao ndo yao tuelezeni mambo ya nchi yetu bongo yanakwena je sio leo wanastarehe kial kukicha watu tunataka akili zetu kizipanu zipanuke kimawazo sio eti kila leo mipicha ya huyu na yule
na jamani kujitangaza sana mwisho mtafilisika na kuingia nuksi hamjui vijicho vya watu nyinyi au tena ndo wazungu hamna time na haya
misifa misifa minginewe huwa inakuleteeni nuksi katika maisha yenu kuweni simple jamani msiige watu wa majuu
ushauri wa bure
usingiza wa mtoto wa kike ni kustirika na kuwa na mume anayempenda na kumlinda na kumuheshimu na kumtimizia ayatakayo na kumkinga asiyeyataka na kupata familia yake na kulea watoto wake na usingizi wa mtoto wa kiume ni kuwa na mke mwema aliyetulia siyo kicheche anayemtunzia heshima yake na kumzalia watoto/mtoto na kuwa mshauri wake mwema na kuishi vizuri mpaka mungu atakapo mchukua mmoja wapo au wote
ndo usingizi niujuavyo mimi, kustiriana kuwa na kwako na mume au mkee katika jamii uitwe mama, mamsap wangu huyu etc siyo leo kuwa na usingizi uko peke yako kila leo mara huyu mara yule mwisho wa yote haya si mwema
wema if i come to bongo can i marry you, because you have achieved so much in life and still young and beautiful queen je utanikubali nitakupenda hujawahii kupendwa marry me baby girl
NY
anastahili kupewa hongera zake bila kinyongo au kijcho au kutoa maneno ya kashfa. je kama picha hizo zinazoonyesha mafanikio angepost mzungu au mtu yeyote wa ulaya musingempa hongera zake? acheni majungu ndugu zangu tumpe hongera zake na tuzidi kumuombea kwa Mungu afanikiwe zaidi. hili ni zuri tujifunze kupitia kwake.
anastahili kupewa hongera zake bila kinyongo au kijcho au kutoa maneno ya kashfa. je kama picha hizo zinazoonyesha mafanikio angepost mzungu au mtu yeyote wa ulaya musingempa hongera zake? acheni majungu ndugu zangu tumpe hongera zake na tuzidi kumuombea kwa Mungu afanikiwe zaidi. hili ni zuri tujifunze kupitia kwake.
Wivu tu unakusumbua @anonymous 54 bila shaka WEMA amekuacha nyuma kimaendeleo uckute hata baiskeli huna looooh
Post a Comment