ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 25, 2013

Uzinduzi wa Kil music Tour 2013 umekusanya umati

Uzinduzi wa Kil music tour 2013 kwa kuhusisha wasanii walioshinda tuzo na wale ambao hawakushinda tuzo za Kili mwaka huu umekusanya umati mkubwa wa watu ndani ya uwanja wa jamhuri mjini Dodoma.

No comments: