ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 20, 2013

Wazalendo Jiji Wajanja watangaza nchi yao

Watanzania waishio jiji la wajanja Oakland - California wakionyesha uzalendo wa kuitangaza nchi yao kwa kuvaa Tshirt zenye rangi na jina nchi yao Tanzania

Kutoka kushoto ni Ndugu Walter Minja, Tony Kavuga, Erick B (Katibu - CCM California) na Finta G.

2 comments:

Anonymous said...

umri umeshapiata unawagaga bye bye ndo sasa wanafikiria kuitangaza nji yao walikuwa wapi wakati bado mabeberu waka moto

Anonymous said...

Nadhani ni vizuri kusifia panapohitaji kusifia. Ukikandia tu basi hata mazuri utakayojifanyia mwenyewe utayakandia na mwishowe utakuwa ujinga.
Hawa vijana wameonekana vizuri na hawakuwa na kosa kabisa kutangaza nchi yao kwa mavazi mazuri ya tshirts nzuri. Na nyuso za furaha kwa kweli wamevutia. Nawashukuru.