ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 2, 2013

AUNTY ASHA AFANYA KISOMO CHA KAKA YAKE

Aunty Asha Akida (kati) akifarijiwa na ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye kisomo cha kaka yake Marehemu mzee Lembuya kilichotokea Tanzania wiki iliyopita na kisomo kufanyika Wheaton Park Jumapili June 30, 2013.
Aunty Asha akifarijiwa na ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye kisomo cha kaka yake marehemu mzee Lembuya kilichofanyika Jumapili June 30, 2013 Wheaton Park iliyopo Silver Spring, Maryland.
Aunty Asha (kushoto) akifuatilia kisomo cha kaka yake mzee Lembuya.
Kisomo kikiendelea.
 Kisomo cha kaka yake Asha Lembuya kikiendelea Wheaton Park iliyopo Silver Spring, Maryland.
 Aunty Asha akifanya kisomo cha marehemu kaka yake Mzee Lembuya siku ya Jumapili June 30, 2013 Wheaton Park Silver Spring, Maryland.
kwa picha zaidi bofya read more


No comments: