Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee akizipiga na Mwigizaji Mahiri wa Filamu nchini, Jacqueline Wolper katika Tamasha la Usiku wa Matumaini lililofanyika Julai 7, 2013 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mpaka mwisho wa mchezo, ngoma ilikuwa droo!
No comments:
Post a Comment