Advertisements

Wednesday, July 31, 2013

JIMMIE MAGGETTE MILIONEA NA MFANYABIASHARA MAARUFU AMUALIKA MPIGANAJI WETU DAVIS MOSHA


Davis Mosha "The CEO", Deo Temba "Mayor wa LA" na milionea Jimmie Maggette wakiwa katika Supper Club Hollywood jana usiku kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa tajiri Jimmie ambaye ni mdogo wa mcheza basketball maarufu na tajiri Corey Maggette. MC wa party alikuwa mwanamuziki maarufu J Cole. Wamarekani weusi wanajisikia proud sana wanapokutana na successful people kutoka Afrika.
The CEO Davis Mosha, D. Temba, Jimmie Maggettte na Alex King
 Deo Temba "Mayor wa L.A." katikati ni Mlinzi (BodyGuard) wa Davis Mosha " The CEO"
Baada ya The CEO Davis Mosha kukubali mwaliko wa Jimmie Maggette alitumiwa mlinzi maalum (Body Guard) wa kumlinda, maana sehemu hiyo hawaendi watu wa kawaida, lazima uwe na mlinzi. Hapa Boss Mosha akiteta jambo na Body Guard wake.
   Mayor wa L.A. Deo Temba akikaribishwa kwenye gari na Boss Mosha
Ricardo Emmanuel Brown Rapper maarufu na aliyewahi kuwa Excutive Vice President wa Death Row records, jina la kisanii  Kurupt aka Kurupt tha Kingpin, aka Kurupt young Gotti au Young Gostra, ni member wa kundi kali la hip-hop la Tha Dogg Pound na HRSMN akiwa na The CEO Davis Mosha katika birthday party ya Jimmie Maggette Super Club, Hollywood Los Angeles.

  Deo Temba "L.A Mayor," Davis Mosha" The CEO" na Comedian Maarufu Funny Man Red Grant
Alex King na tajiri na mmiliki wa Kiota maarufu cha R n B LIVe Hollywood. L.A.
 Bathroom ina kila aina ya perfumes, zote expensive ukiingia lazima utoke na unyunyu mpya na pipi za bei ghali.
 Alex king akiwa na Bodyguard wa Davis Mosha Super club L.A.PICHA ZOTE NA SWAHILI TV 

9 comments:

Anonymous said...

nilidhani Mr Davis Mosha ni entrepreneur mwenye hekima..vitu gani hv ku-post kwenye mablog?elimu ya huyu ndugu ni ya level gani?au ndo kusoma si kuelimika??plz be classy and punguza show-off za ki-teeneger!!

Dr. Deus
Ujeruman

Anonymous said...

Nice pics, we baki na elimu ya ko naye na fedha zake

Anonymous said...

Tajiri the boss kalibu tena Houston tx !! Mr Frank mutafungwa

Anonymous said...

Vipi mtoto wake aliyeenda majaribio chelsea. Itabidi aendege lipuli tu.

Anonymous said...

Ushamba una kazi

Anonymous said...

Dj Like, this is thelowest of you. Mamb gani haya ya kupost kwenye blog yako. Tunaheshimu hii blog na simutegema mtu kama wewe upost mambo kama haya na hizi picha especially kwenye blog ya jamii. Umetoka kufanya tamasha kubwa na jina lako limepaa sana sasa mbona unajisahau. Au unatumika ndugu. Linda heshima yako katika jamii habari kama hizi siyo za kuweka huku. Wengi tunasoma na una heshimikakatika jumuiya ya wana habari. Sasa hili linaletamtazamo tofauti. Blog hii kweli ni ya jamii. Watoto wetu wakiona picha hizi unawafundisha nini. Tunaomba utoe hizi picha hiihabari hapa siyo mahali pake.
Waambie watafute avenue nyingine kama wanataka kuonekanama club la

Anonymous said...

Watu kwa wivu! Kwani hizo picha zinatofauti gani na nyingine ambazo huwa zinawekwa humu eg:birthdays, parties, etc. au kwa vile ni za tajiri kijana kutoka TZ? Kubali tu kuwa vidole havilingani. Mwanaume wivu kama mtoto wa kike,LO!

Anonymous said...

Hv vitu vya kishamba kweli. Low of the lowest.

Anonymous said...

Davis na marafiki zake wangejifunza "Give Back To Community" na kusaidia ile shule ya msingi Manambeni iliyoko Mbokomu Moshi Vijijini aliposoma Davis Mosha ndio picha zitolewe kwenye mablog. Si vibaya kuenjoy your money...but showoff is turnoff.

Karibu USA Davis.