Advertisements

Wednesday, July 31, 2013

NI UVIVU WA KUFIKIRA AU ? WADAU TULITUPIE MACHO SUALA HILI NYETI !

KATUNI KWA IDHINI YA MARCO TIBASIMA

4 comments:

Anonymous said...

wanapenda sana kuiga na kutodhamini utamaduni wao ! Kilio cha taifa.

Anonymous said...

Ni kweli mdau wanaapenda sana kuiga. Juzi hapa mwanamziki alikuja USA kwa matembezi lakini wenyeji wake walimuunganisha na baadhi ya wanamuziki wa ki-Marekani, ghafla bini vuu akajisemea mwenywe kwamba anataka kuimba kama jamaa fulani. Yale yale ya manzese, mwenzio akianzisha biashara ya nyanya nawe waanzisha pembeni yake.
Hata muziki nao wadau waelimisheni watu wa fani hiyo kuwa wabunifu sana kuzingatia utamaduni na msimu. Anzisha biashara ya ubuyu kando ya muuza nyanya. Sababu hiyo wengine wanaiba hata muziki wa mwenzie ilimradi tu apate feddha. Acha uvivu kwa kutuliza akili na uwe mbunifu yaani fanya vitu ambavyo havijawahi tokea......try to creaat things inordnary way.

Anonymous said...

Msiwafananishe na wasanii wa fleva. Tanzania muziki tunao tena mzuri sana wa bendi. Ila hawa wanaojiita wanamuziki wa fleva si wanamuziki bali ni wasanii tu kwani wana kazi zao nyuma ya panzia.

Anonymous said...

Suala hapa sio muziki bali ni biashara!Kila mmjoa anapofanya kazi anatarajia faida, tena kubwa!Hata wasanii wa nyumbani wako hapo kwa kutarajia faida!Wadau wengine wa muziki huo, ukiachilia mbali waimbaji,hapa wapo pia mapromota na wamiliki wa media zinazopiga nyimbo, ndio wanaoua muziki wa tz na kuwanfya waimbaji waonekane hawana ubunifu! Hawa jamaa wanataka nyimbo zenye kupendwa na wasikilizaji au watazamaji wa media zao ili watengeneze soko pia!Msanii akijaribu kuimba tofauti na wanavyotaka wao, hawezi kupata promo wala show! Ubaya uko kwa media,sio wasanii. Naamini hivyo kwa kuwa media ndio macho ya watumiaji wa muziki,bila media mpenda muziki ataufahamu vipi?Kampeni ya mabadiliko inawezekana kufanywa na wadau na media kwa nafasi kubwa!

Mdau kutoka Dar es Salaam.