Majokofu kutoka USA sasa yanapatikana Dar kwa bei nafuu
Kwa maelezo zaidi na maelekezo tafadhali piga simu 0713602898 or 0758870007.
kwa picha zaidi bofya read more
4 comments:
Anonymous
said...
JAMANI KWANI HAYO MAJOKOFU YANATOKAGA USA ama yanatoka CHINA? maana hata haya ya USA yameaandikwa made in CHINA. Ebu tueleweshane maana sikuhizi bongo kila kitu wanasingizia kimetoka USA kumbe sivyoooo kabisa!!! Asanteni sana wadau. Siku njeema.
Mkuu china imetawala soko la dunia kwa hiyo si ajabu yakatoka usa lkn ni made in china, vitua vya china vinavyoingizwa ulaya na marekani ni first class,hakuna uchakachuaji

Hebu tuwekeeni bei basi, au ni mitumba bei maelewano?
Mkuu china imetawala soko la dunia kwa hiyo si ajabu yakatoka usa lkn ni made in china, vitua vya china vinavyoingizwa ulaya na marekani ni first class,hakuna uchakachuaji
WEKA BEI TAFADHALI
Post a Comment