KILA KONA OBAMA
Yakiwa yamebakia masaa mawili na dakika kadhaa Rais Barack Obama awasili jijini Dar es salaam...mji umeonekanika kuwa kimya huku watu wakiwa na shauku ya ugeni kiasi kiala kona kumekuwa na aina ya ukaribisaji wake, picha muuza chips mtaa wa Kariakoo akiwa ameweka bendera ya Marekani kama ishara ya kumkaribisha Rais huyo.
No comments:
Post a Comment