Jana kampuni ya Cheusi Dawa ilifanya kitu kinachoitwa #PoetryAddiction 2013 ikishirikisha wasanii wa Hip Hop na RnB kutoka Tanzania, kama Mad Ice, Chidi Beenz, Wakazi, One The Incredible, Damian, Fid Q mwenyewe na wengine kibao. Show hiyo ambayo Ncha Kalih alii-host na ilikuwa ikifanyika live, ilikuwa ni ya aina yake.
Check picha hapa chini zilizopigwa na kampuni ya Slide Visuals …
Vanessa Mdee and a friend.
Ngosha himself a.k.a FidQ
Chidi Beenz
NchaKalih (The Host)
TK Nendeze and friends …
Millard Ayo …
One The Incredible …
Fid Q.



















No comments:
Post a Comment