Advertisements

Wednesday, July 17, 2013

Maalim Seif atembelea masoko manispaa ya Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji bei ya maboga katika soko la Mombasa, wakati wa ziara yake ya kutembelea soko hilo hapo jana.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiangalia mboga mboga katika soko la Mombasa, wakati wa ziara yake ya kutembelea soko hilo hapo jana
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji bei ya samaki katika soko la Mombasa, wakati wa ziara yake ya kutembelea soko hilo hapo jana
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji bei ya nazi katika soko la Mwanakwerekwe, wakati wa ziara yake ya kutembelea soko hilo hapo jana. Nazi moja inauzwa kati ya shilingi 200 hadi 400 (bei ya jumla)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji bei ya muhogo katika soko la Mombasa, wakati wa ziara yake ya kutembelea soko hilo hapo jana. Fungu la muhogo linapatikana kwa bei ya shilingi 1000 hadi 2000.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji bei ya muhogo katika soko la Mombasa, wakati wa ziara yake ya kutembelea soko hilo hapo jana. Fungu la muhogo linapatikana kwa bei ya shilingi 1000 hadi 2000.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji bei ya njugu mawe katika soko la Mwanakwerekwe, wakati wa ziara yake ya kutembelea soko hilo hapo jana. Kilo moja ya njugu ni shilingi 1500 (bei ya jumla)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji bei ya mboga mboga katika soko la Darajani, wakati wa ziara yake ya kutembelea soko hilo hapo jana
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji bei ya samaki aina ya change katika soko la Darajani, wakati wa ziara yake ya kutembelea soko hilo hapo jana. Changu mmoja wa kawaida anauzwa kwa bei ya shilingi 8000 hadi 10,000
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiagana na Mkurugenzi wa Manispaa Abeid Juma, baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea masoko katika manispaa ya Zanzibar hapo jana. Picha zote na Salmin Said, OMKR.

No comments: