ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 2, 2013

MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZIA KUTOKOMEZA NJAA BARANI AFRIKA

 Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye  Mkutano wa Kimataifa   kuzungumzia  juu ya  kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika uliomalizika  mjini Addis Ababa Ethiopia leo July 01-2-013.


 Ujumbe wa Tanzania uliofuatana na Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal wakifuatilia kwa makini mkutano wa Afrika uliozungumzia juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika . Mkutano huo ulimalizika  jana  jioni July 01-2013  mjini Addis Ababa Ethiopia.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal wa pili kushoto akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Viongozi wa kimataifa waliohudhuria Mkutano wa  Kimataifa  uliozungumzia juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika mjini Addis Ababa  Ethiopia    July 01-2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwenyekiti wa  AUC  Dk. Nkosazana  Dlamina Zuma, kwenye ukumbi wa Mikutano wa umoja huo baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Viongozi wa Kimataifa uliozungumzia juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika  mjini Addis Ababa Ethiopia jana jioni July  01-2013 (Picha na OMR)

No comments: