Juu na chini: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Netherland nchini Tanzania, Mhe. Ad Koekkoek, aliyemaliza muda wake nchini, wakati alipofika kumuaga Makamu Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 12, 2013. Picha na OMR


No comments:
Post a Comment