ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 1, 2013

MASANJA , SHILOLE DAY 2 NDANI YA DOWNTOWN SILVER SPRING.

 Msanii wa Bongo Movie na Bongo flava, Shilole akielekea City Place Mall iliyopo Downtown Silver Spring, Maryland walipokua wakienda yeye na Masanja (hayupo pichani) kuvinjali kwa kupata dinner ya mchana.
Masanja na shilole katika picha ya pamoja na kikundi cha TRIO CALINTE kinachotumbiza nje ya City Place Mall iliyopo Downtown Silver Spring, Maryland.
Shilole na Masanja wakishangaa shangaa downtown Silver Spring, Maryland.
Shilole katika pozi.
Masanja akipata menyu kwenye mgahawa wa Red Lobster uliopo pembezoni ya mall.
Shilole akipata nae menyu yake.
Hawa kamba ni mwisho.
Shilole na Masanja wakiendelea kupa msosi wa Red Lobster.
Shilole na Masanja wakipata ukodak moment nje ya City Place Mall.
Mwanawane ebu nifyatue kamoja hapa.
Na mimi nipe moja hapa.
kwa picha zaidi bofya read more


1 comment:

Anonymous said...

Chezea kula chakula kwa kutumia kisu na uma...shilole kachemsha live.