ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 1, 2013

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wajitokeza pembezoni mwa barabara kumlaki Obama.

Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wamejitokeza katika maeneo mbalimbali na kusimama pembezoni mwa barabara wakimlaki Rais wa 44 wa Marekani Barak Obama, ambaye anafanya ziara yake ya kiserikali ya siku mbili hapa nchini.

1 comment:

Anonymous said...

mbona barabara zetu zina mchanga sana, Kwanini hazifagiliwi?