Msanii Shilole akipata kitu inaitwa Mbwa moto "Hot Dog" wakati alipokua New York City akisubili boti kuelekea kuliko statue of Liberty akiwa ameambatana na msanii mwenzake Masanja (hayupo pichani) Jumanne July 9, 2013,
Kutoka kushoto ni Ebra NY, Libe, Masanja na Shilole wakiangalia Statue of Liberty kwenye mto wa Hudson unaotenganisha New Jersey na New York.
Libe, Masanja na Shilole wakinyanyua mikono yao juu kwa mfano wa Statue of Liberty.
Ebra Vijimambo vya NY (kushoto) akiwa na wageni wake Libe, Shilole na Masanja wakati alipokua akiwadhurulisha New York City Jumanne July 9, 2013.
Masanja akipata picha nje ya mahali panapoumiwa kupandia boti kwa wasafiri wanaoelekea kwenye statue of Liberty.
Masanja akipata picha kwenye gari la Polisi wa New York.
Juu na chini ni Shilole na Masanja wakipiga picha na Polisi kikosi cha farasi Manhattan New York.
Shilole akipata picha na jamaa aliyejichora na baada ya picha hua analipwa $1.00.
Masanja, Shilole na Libe wakiwa na mwenyeji wao Ebra wakipata chakula kwenye mgahawa mmoja wapo Manhattan, New York.
Shilole akiongea na Kisaka (kushoto)mtayarishaji wa Video ili amshutie Video ya wimbo wake mpya ambayo anatarajiwa kuifanyia New York City.
kutoka kushoto ni Miraji, Ebra, Shilole na Bagdela wakitafakali jambo maeneo ya Times Square.
kwa picha zaidi bofya raed more
7 comments:
Kula bata mwanawane
Karibuni kwenye jiji lisilo lala.
Yap, mambo ya NYC enjoy shilole
Jamani safiiii sana futeni vumbi na jasho wapendwa, Masanja na Shilole nawaona mko duniani wenzetu. safiii. Kuleni maisha maana hakuna kama USA! huko ni dunia nyingineee kabisaaa aiseeee. msiache kupiga picha za kutosha. mambo ikooo hukoooo majuuuu kwa Obama.
Yaaani ni bata kwenda mbele mwana wane mpaka kuku aone wivu!
rusheni roho shilole na masanja wenzenu wanawaonea donge hasa wale wasopenda maendeleo yenu akina mwanfulani hahaha watajibeba kama wanaweza wapande ngazi wakazibe,,,, waambieni wabaya wenu kua mambo huenda kwa rehema kila mtu lake fungu,,, enjoying ,, tunajua wabongo watawasema sana but achaneni nao wameishiwa wakikuoneni humu roho zinawauma,,, lol
najiuliza kila mara hivi ndo miondoko ya kibongo flava au ndo mambo ya kileo kuonyesha mavidole na sijiu nini na nini, ndo nini, meaning kuji act kimarekani kwa mikono na sijui style za miyayusho ndo nini,
unajua sisi watanzania ni wastaarabu sana, sasa tukiwa tuja ji act hivi najiuliza ndo nini au iwe je?
wenzenu wamarekani weusi wamedata kikweli kweli halafu hawana wa kuwaokoa na hawana mila zao leo hii sisi kuji act kirosto rosto ndo nini na kila anayekuja huku basi ana act hivi mamikono design sijui nini na nini wacheni hizo bwana za manzese manzese
Post a Comment