Kwa niaba ya familia ya Imani Kibelloh,na watoto wake Omar na Omran Kibelloh wanakutaarifuni kuwa kutakuwa na kisomo cha Hauli (memorial service)ya Marehemu Patrin Kibelloh kisomo hicho kitafanyika,siku ya jumapili July,7,2013.kuanzia saa sita mchana mpaka saa kumi jioni kwenye ukumbi wa Fox hill yatch club. 114 Ballard st,Saugus MA 01906 nyote mnakaribishwa

No comments:
Post a Comment