ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 3, 2013

PITA PITA YA VIJIMAMBO NEW YORK CITY WEEK HII NA T.E.S

Dr Temba C.E.O wa T.E.S akihakiki computer machine ya kuendeshea mtambo wa kukausha samaki smoke house. Mtambo huo ulihitaji kuongezewa nguvu za kitaalamu ili uweze kufanya kazi yake kwa uhakika.
Hapa chini unaweza kuona Motor nne zenye rangi ya blue zilizofungwa na T.E.S na juu ni computer za kuendeshea motor hizo.
Computer imeshakamilika 
Hapa computer imesha kamilika tayari kwa kazi
Hii  nikazi ya T.E.S chini ya Engineer Dr Temba na Technical  Nyagaly!!
Dr Temba akipima nguvu ya upepo unaotokana na motor hizo ndani ya mtambo wenyewe wa kukaushia samaki. Baada ya mtambo huo kufungwa motor na computer za kuuongezea nguvu zaidi
Engineer wa kiwanda hicho akipata ukodak wa kumbukumbu baada ya mtambo wake kufanya kazi baada ya yeye kukosa kabisa maarifa.
Engineer Temba na Technical wake Nyagaly wakipata ukodak baada ya kufanya kazi ya kuuwezesha mtambo huo kuwa bora maradufu.

No comments: