Advertisements

Wednesday, July 10, 2013

QUINTON FORTUNE AITEMBELEA AZAM FC

Quinton Fortune (kulia) akiongea na Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall.
...Akionyeshwa swimming pool.
Fortune akihojiwa na mwanahabari kutoka EATV.
Quinton Fortune (mwenye tisheti nyeusi na kaptura) akiongea na Sterwart Hall wakati akionyeshwa mandhari ya Chamazi Complex.
..Akiwa katika gym ya Azam FC.

Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Atletico Madrid, Bolton Wanderers na nyinginezo, Quinton Fortune, ambaye kwa sasa anasomea fani ya ualimu wa soka kwenye Klabu ya Manchester United, leo alitembelea Azam FC Chamazi kwa mwaliko wa DHL.
Fortune alishangazwa na ubora wa Center ya Azam FC na kusema hajawahi kuona kitu kama hiki kinachomilikiwa na klabu hata kwenye nchi yake ya Afrika ya Kusini.

(Picha na Azam FC)

No comments: