Rais Barack Obama wa Marekani amezindua mpango unaolenga kukuza na kuendeleza uzalishaji Africa na kusema bara la Africa lina uwezo mkubwa wa kujikwamua kiuchumi na kimaendeleo iwapo litapata uwezeshaji wa kutosha na linaweza kuwa sehemu yenye mafanikio makubwa duniani.
1 comment:
Msemaji wa pili bada ya Mzee Mengi amenifurahisha kwamba Afrika ianze kuwa na uhusiano wa kibiashara na nchi zilizoendelea kama US badala ya kuwa ombaomba tu.
Post a Comment