ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 2, 2013

RAIS OBAMA AONGEA NA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR

Rais wa Marekani Barack Obama akiwahutubia wafanyabiashara jana jijini Dar es Salaam juu ya mpango wa nchi yake wa kufungua milango ya ushirikiano na uwekezaji kwa nchi za Afrika Mashariki katika sekta mbalimbali na hivyo kuongeza kiwango cha bidhaa ya Afrika Mashariki zinazoingia nchini Marekani.
Rais wa Marekani Barack Obama akiwa katika mkutano jana jijini Dar es Salaam wa kujadiliana na watendaji wakuu (CEO) wa Makampuni mbalimbali yaliyowekeza Afrika juu ya kuimarisha fursa za ushirikiano kati ya Marekani na Afrika katika uwekezaji kwenye sekta mbalimbali za maendeleo.
(Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar es Salaam)

No comments: