Salma, siyo kila mtanzania anaishi DC, MD, na VA (DMV) ni mwana-CCM. Unapoalika watanzania wote wahudhurie huo mkutana wa CCM na kuchua kadi unakosea. Si vibaya kualika watanzania wanaopenda kushirikiana na wana-CCM, lakini si vizuri kuwataka wajiunge na CCM. Wapo watu ambao hawapendi vyama vya siasa ambao unaweza kuwaalika kuwa kama observers bila pre-conditions za kujiunga na chama na kukichangia pia.
1 comment:

Post a Comment