ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 1, 2013

The Bees Group of Washington

 Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la utamaduni wa kiswahili Marekani sisi ni Watoto tuishio hapa Maryland na kikundi chetu kinajulikana kama The Bees Group tunaomba utuingize kwenye ratiba ya tamasha la kiswahili tuna nyimbo 4 za kiswahili na mchezo mmoja. tutafurahi sana kama utatupatia nafasi kwenye ratiba ya sherehe hii. Asante

2 comments:

Anonymous said...

Ohoooooo!
How nice!

Baraka Daudi said...

The Bees Group,nimefurahi sana kusikia kutoka kwenu. Kwa niaba ya Kamati nawaomba alhamisi Julai 4,2013 saa tisa mchana mje pale katika kanisa la Njia ya Msalaba lililopo College Park mkiwa pamoja na mwalimu wenu ili mtuonyeshe vitu vyenu na kuweza kupatiwa nafasi ya kutumbuiza katika Tamasha. Tutaonana alhamisi,nawatakia kila la kheri.

Baraka Daudi
Mwenyekiti Kamati ya Maandalizi