Meza waliyokaa Kaimu Balozi Mama Lily Munanka baadhi ya wageni walikuja na masafara wa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi wakibadilishana mawazo huku wakicheka kwenye usiku wa sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la Kiswahili Marekani lilofanyika Jumamosi July 6, 2013.
Afisa Ubalozi Suleiman Saleh pamoja na mkewe (kushoto) katika picha ya pamoja na Tina Magembe.
Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na mkwewe katika pivha ya pamoja na Kulwa (kati) kutoka North Carolina aliyekuja kwenye sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la utamaduni wa Kiswahili kama muakilishi wa DICOTA.
Shilole na Masanja wakipagawisha wadau wa Kiswahili kwenye sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la Kiswahili Marekani.
Shilole akicheza na Salha kwenye moja ya nyimbo zake alizopagawisha kwenye sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo iliyofanyika Jumamosi July 6, 2013.
Shilole akizidi kuwasha moto.
Ulikuwa ni usiku wa Vijimambo kuandika historia mpya.
Dj Luke (kushoto) katika picha ya pamoja na Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mindi Kasiga (kati) na mwenyekiti wa kamati Baraka Daudi.
Vijana na wadau wakubwa wa kiswahili wakipata picha ya pamoja.
Hamprey mdau wa Kiswahili toka North Carolina.
kwa picha zaidi bofya read more.
3 comments:
DJ Luke nimefurahi kuona kuwa watu wana nyuso za furaha. Ila nimesikitishwa na kitu kimoja, kwanini hakukuwa na dresscode? Sherehe kubwa kama hii na yamaana kama hii lazima pangekuwepo na dress code bwana...watu kuvaa holela holela si fresh kabisa "baadhi ya watu" ngoja nisema hivyoooo!! God bless.
kama unataka dress code si ufanye party yako!!!
Kweeli hayo maneno yako, haiwezekani kuwepo na kiingilio kisha uwapangie watu cha kuvaa. Unaweza kuweka dress code kwenye party binafsi.
Post a Comment