ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 13, 2013

WAKAZI WA TABORA WACHANGAMKIA MCHEZO WA POOL

Mchezaji wa timu ya Texas pool Club ya Mkoa wa Tabora Salum Kazuga akijitayarisha kupiga mpira wakati wa mazoezi ya Club yao iliyofanyika mkoani hapo jana 
Mchezaji wa timu ya Texas pool Club ya Mkoa wa Tabora Shabani Ramadhani akijitayarisha kupiga mpira wakati wa mazoezi ya Club yao iliyofanyika mkoani hapo jana picha na SUPER D

No comments: