
Picha juu na chini wajumbe wa CCM wakiwa na mwenyekiti wao Josephine (fulana nyeusi wa nne toka kulia)) na katibu Erick (fulana nyeupe kulia)) katika ukumbi wa ST. Anthony Foundation uliopo San Francisco, California, wajumbe hawa wa tawi la CCM California waliweza kulisha watu waiokua na makaazi.


4 comments:
Mhe. Luke,
Nadhani katika matawi yote ya CCM yaliofunguliwa hapa Ughaibuni ! Hili la CCM California kwa kweli linanifurahisha. Muono wao katika jamii na siasa pia. Nadhani wamekuwa ni mfano wa kuigwa kwa kweli.
Wana-California hongereni na sana na endeleeni na mkazo huo huo. Mungu bariki
Asanteni sana. Ila next time take those gloves off!
Mbarikiwe
Homeless wa nyumbani TZ nani anawasaidia?
Tunawashukuru sana kwa kuwasaidia hao homeless WA California. Ila pia ni vizuri Mara nyingine mkielekeza mlichofanya huko mkifanye nyimbani Tanzania kuna mayatima wengi NA wenye shida zaidi
Post a Comment