


Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Benjamin William Mkapa pamoja na wake zao, Mama Sitti Mwinyi na Mama Anna Mkapa, wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harare, Zimbabwe, walikoalikwa kushiriki katika sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa Zimbambwe, Mhe. Robert Mugabe, inayotarajiwa kufanyika kesho
Alhamisi Agosti 21, 2013. (PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment