ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 21, 2013

KIPAJI TOKA MOYONO LEO ASLAY NA ALLY NIPISHE

mimi nimoja kati  ya watu ambao na penda sana kufatilia muziki wa nyumbani kama umeshuka au mepanda. leo najalibu kuwaelezea wasani hawa wawili yani ASLAY NA ALILY NIPISHE hawa wote niwasani wa makundi mawili tofauti na academia tofauta aslay ana toka wanaume famili chini ya fella na wanaye wakati ally nipishe  ana toka THT ya mwanzilishi ruge    
                                                     Nikwanii nimejalibukuwachaguwa hawa wawili sababu kubwa kwanza umri wao navitu wanavyo fanya kiukweli nitofauti pili sauti hawawatu wana saut zuri mfano asly tangu anaanza kwenye NAENDA KUSEMA KWAMAMA hapo ndio nika muona kuwa ana saut yakuimba  naakiendelezwe atafika mbali  na ALLY NIPISHE mwanzi nilimsikia kashirikiana na MWASITI wa THT.shukrani ziende kwa FELLA na RUGE.nimemalizaaaaaaa

No comments: