Pamoja na kuonywa na madaktari kuwa urefu wa nywele zake unaweza kumsababishia tatizo la kupooza, Asha Mandela amesema hawezi kuzikata.
Mama huyo mwenye mtoto mmoja aishiye Atlanta, Georgia amesema: Nywele zangu zimekuwa sehemu yangu. Ni maisha yangu. Sitozikata kamwe. Kuzikata itakuwa ni kama kujiua. Itakuwa ni sawa na zombie.’
Mrs Mandela, 47, anashikilia Guinness World Record kwa kuwa na rasta ndefu zaidi duniani zenye urefu wa futi 55.
Humchukua siku mbili kuziosha na kuzikausha nywele zake. Mrs Mandela, ana mtoto mwenye miaka 11 aitwaye Zion aliyezaa na mume wake wa pili, anasema nywele zake zimesaidia uhusiano wake na mumewe.
Kwa sasa ameolewa na mume wa tatu na asili yake ni Trinidad and Tobago. Alianza kuzitunza nywele hizo miaka 25 iliyopita

8 comments:
Huu ni uchafu na ugonjwa wa mgongo tu kwa kweeli sioni huzuriii hata kidogo!!! Kwa ujumla weeengi wanaofuga marasta wanakuwaga wanabeba chawa na funza kwa wingiiii tu kichwani!!!!! Pole yake!!!!!
That is awesome and unique, what matters is how she feels about the hair and the comfort he has with them. I am happy about it and I am a 7years dreadlock female. I am thing I would like to tell participants especially the one who gave a comments saying that * huu nu uchafu na ugonjwa, na kwamba wafuga rasta nabeba chawa* your comments is Pathetic.. you have no clue what chawa and funza is, I can clearly tell you level of understanding and contemplating is very poor. Please try be realistic and reasonable if you have passed puberty.
Good day.

That is awesome and unique, what matters is how she feels about the hair and the comfort he has with them. I am happy about it and I am a 7years dreadlock female. I would like to tell participants especially the one who gave a comments saying that * huu nu uchafu na ugonjwa, na kwamba wafuga rasta nabeba chawa* your comments is Pathetic.. you have no clue what chawa and funza is, I can clearly tell you level of understanding and contemplating is very poor. Please try be realistic and reasonable if you have passed puberty.

Que: to test your IQ, where on earth can you get chawa na Funza kwenye zinazoochwa for two days? India? Please wake up and get smart!
Good day.
siku zote hata kama hupendi kitu ..usionge kitu ambacho kwa ubaya tuu kwa sababu hupendi!ww ulio comment wa kwanza kabisa..sijui Rasta ni uchafu na funza hivi Unajua garama za kutengeneza Rasta nakuzitunza ???nafikiri una matatizo ya akili na ufahamu mdogo hivi chawa na funza wawe kwenye kichwa cha mtu huyo mtu atakuwa anaishi ...!!kuna watu wanamioyo yakimasikini
Mmmmhhhh... Haya..
Post a Comment