Advertisements

Friday, August 9, 2013

Balozi wa Vijana Raymond Maro katika mahojiano VOA.

Raymond Maro akiwa katika picha ya furaha pamoja Laurine Ogoma Prisca na mtangazaji Roger Rajar baada ya mahojiano na idhaa ya Kifaransa ya VOA. Mtangazaji maarufu wa VOA Straight Talk Africa Shaka Ssali akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Vijana katika Jumuiya ya Afrika mashariki kwa upande wa Tanzania ndugu Raymond Maro pamoja na mtangazaji mwenza Mariama Diallo na Martin Buhendwa kiongozi wa kundi la Friends of Congo kwa upande wa Vijana ndani ya studio za VOA siku ya Kipindi cha Straight Talk Africa kilichojadili nafasi ya vijana katika jamii na siasa. Raymond Maro akishiriki kipindi cha televisheni cha VOA - French akiwa na Laurene Saucer na mtangazaji wa kipindi Roger Rajah Muntu ndani ya jumba la VOA

No comments: