ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 23, 2013

Baraza la Katiba - Change Tanzania

Wapendwa bloggers
Kwanza tunawashukuru waliotoa habari ya Change Tanzania na petition. Kesho tarehe 24 Agosti 2013, tunaandaa baraza la katiba na ni baraza huru rasmi inayotambulika na Tume ya Katiba. Kati ya mada tutakayo jadili ni uhuru wa kutoa na kupata maoni. Kama NETIZENS (yaani wananchi wanaotumia mtandao wa internet) hapa nchini, tunawakaribisha saa 2 na nusu mpaka saa 7 mshiriki na muweze kutoa maoni yenu pia. Location ni pale British Council.
Nimeambatanisha na ratiba.
Asanteni
Maria

No comments: