ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 15, 2013

FEZA ATUA BONGO


 
Juu na chini ni Mshiriki wa Big brother the Chase Feza Kessy amefika Tanzania leo usiku saa moja akitokea South Africa. Airport kulikuwa na mama yake mzazi,kaka yake,mwanae,team ya Multi choice ikiongozwa na Barbara pamoja na mashabiki wengi. Hizi ni baadhi ya picha jinsi ilivyokuwa, picha nyingine na video zinakujia hivi karibuni.
Feza na mwanaye
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
PICHA KWA HISANI YA MILLARDAYO.COM

No comments: