Advertisements

Monday, August 12, 2013

FEZA BAADA YA KUTOLEWA NDANI YA MJENGO WA BBA CHASE AFUNGUKA NA KUSEMA

Feza Kessi ambaye usiku wa jana baada ya kutoka kwenye mjengo wa Big Brother‘The Chase’amefanya mahojiano leo na DSTV ambapo pamoja na mambo mengine aliulizwa kuwa akifika nyumbani kitu gani cha kwanza atakachokifanya alisema kuwa atambusu mwanaye aitwaye Jayden.
.‘Nikifika nyumbani nitamkisi mwanangu kichwani kwani nimemmis sana’’alisema Feza.

Pia pamoja na hayo alizungumzia kuhusu atakavyojikita kwenye muziki mara baada ya kutoka kwenye shindano…

No comments: