ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 22, 2013

Jumapili ya Maombezi - Bethel Kingdom Church and Ministries

 Kanisa la Bethel Kingdom Jumapili ya August 18 lilikuwa na ibada maalum ya maombi kwa ajili ya  wanafunzi wanaorudi shule mara baada ya likizo ya summer na wale wanajiunga vyuo. Askofu Melchizedek Maturlu aliwaombewa watoto na vijana ili Mungu awalinde na kuwatunza katika masomo yao

1 comment:

Anonymous said...

haya makanisa mbona yamekuwa mengi?