Kanisa la Bethel Kingdom Jumapili ya August 18 lilikuwa na ibada maalum ya maombi kwa ajili ya wanafunzi wanaorudi shule mara baada ya likizo ya summer na wale wanajiunga vyuo. Askofu Melchizedek Maturlu aliwaombewa watoto na vijana ili Mungu awalinde na kuwatunza katika masomo yao
1 comment:
haya makanisa mbona yamekuwa mengi?
Post a Comment