Jumuiya ya Watanzania Houston inawakaribisha watanzania wote waishio nje ya nchi wanaotaka uraia wa nchi mbili uwepo kwenye KATIBA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutia sahihi kwenye link hapo chini, iPetitions:
Asanteni,
Novastus Simba, Mwenyekiti
Jumuiya ya Watanzania Houston, Texas.
1 comment:
True dual citizen ship is nice kwa wanao ishi nje ya tz. JE tutadhibiti vipi wale ambao siyo wa tanzania kuingia bongo na kupata uraia kwa hongo na kununua ardhi na kuishia kwao au inshort the corrupted ones kuposes passport ya bongo na ya nchi zao kama india au wazungu wa south Africa. Nyie lilieni hiyo dual citizenship baadaye mtajua why kuna wakenya wengi bongo au south Africans au small china
Post a Comment